Ina vitamin E, inarepair na kuweka sawa ngozi kavu, inaondoa mikunjo, inatoa makovu na alama kwenye ngozi, inatengeneza rangi ya ngozi na kukufanya uwe na rangi moja, inarepair ngozi iliyoungua na jua