Ni brush iliyoungana na soap container, una weza kutumia tofauti na kuoshea vyombo, material ni plastic